• Call us +255 787 900 787

Your Cart

Checkout | Shopping Cart

HEKIMA YA MUNGU KWA NJIA YA MIFANO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
3,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 25, 2024
Product Views:
205
In category:
Sample

Toleo la pili

Mifano ni nini? 

  • Mifano ni simulizi fupi za kutunga ambazo hutumika kueleza kweli mbali mbali za kimaisha. 


  • Mifano ni njia rahisi ya kutumia mazingira yaliyopo kuwawezesha wasomaji ama wasikilizaji kuweza kuelewa kirahisi jambo ambalo lingekuwa gumu kulielewa kwa wepesi. 


Kufundisha kwa kutumia mifano, ni mojawapo ya mbinu makini ya kufundishia ambayo humwezesha mwanafunzi kuelewa vyema na kukumbuka kirahisi ukweli uliofunuliwa kupitia kielelezo.


Ufundishaji kupitia mifano ndiyo mbinu kuu aliyokuwa akiitumia Bwana Yesu mara zote kufundishia, hadi ikafikia wakati wanafunzi wake wakahoji inakuwaje anapenda kufundisha kwa mifano (Mathayo 13:13, 34).


Mfalme Sulemani aliyekirimiwa na Mungu Hekima ya hali ya juu mno kiasi kwamba alifanyika kuwa kituo cha utalii, watu kutoka mataifa mengi wakaja kuisikiliza Hekima yake, naye alikuwa akifundisha pia kwa njia ya mifano. Miongoni mwa vitabu vingi alivyoviandika, alitunga pia jumla ya mifano elfu tatu (1Wafalme 4:32).


Karibu ufuatane na Mwalimu Alex E. Bubelwa, mwandishi wa kitabu hiki, si tu kwamba utafurahi na kuburudika, lakini pia utajifunza mengi na ni hakika Mungu atasema na wewe. Kitabu hiki ni nyenzo bora na muhimu sana kwa Walimu wa Neno la Mungu, Wachungaji na kwa mwili wote wa Kristo.


 Mungu na akutuanze, nakutakia tafakari njema.

More Products On Discount
6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold