• Call us +255 787 900 787

Your Cart

Checkout | Shopping Cart

Mathematics Made Easy

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,999 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 02, 2023
Product Views:
531
In category:
Sample

Jenga msingi imara wa hisabati kwa mtoto wako.

Je, mtoto wako ana changamoto katika somo la hisabati? Ungependa mtoto wako wa darasa la tatu amalize mada za darasa la nne bila yeye kufahamu kuwa amemaliza? Unatamani kuona mtoto wako wa darasa la nne anafanya marudio huku akijiandaa na mtihani wa taifa? Najua unapenda sana mtoto wako awe na msingi imara wa hisabati. Kuna wakati unatamani kumpa mazoezi mtoto wako lakini unayakosa? Natambua vile unavyopata shida kumuelekeza mtoto wako awapo na home work. Ulitamani sana upate kitabu chenye mifano inayojieleza ili uitumie kumfundisha mtoto wako. Hivi unajua ugumu wa hisabati kwa watoto mara nyingi husababishwa na ugumu wa vitabu wanavyofundishiwa? Ulikuwa na kiu ya kupata kitabu cha hisabati rahisi ambacho dada na kaka wa mtoto wako wanaweza kukitumia kumfundishia mdogo wao? Kitabu hiki cha  MATHEMATICS MADE EASY kimekuja kujibu maswali yote hayo na kurahisisha hisabati kwa mtoto wako kwa gharama nafuu sana.

More Products On Discount
25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold