
MTU WA THAMANI
Mafanikio siku zote kwenye eneo lolote yanafuata Thamani Kama unahitaji kulipwa zaidi kwenye maisha lazima uzingatie kuwa na Thamani kubwa, mafanikio unayoyapata yanatokana na Thamani yako, rnAu kile unachokitoa na namna unavyokitoa.rnMTU WA THAMANI ni kitabu kinachokupa mbinu muhimu zakuwa mtu Bora kwenye maisha nakukufanya mtu awe na uwezo wakufanya makubwa na kwa ubora na kujenga THAMANI
katika kila kazi, taaluma au biashara yeyote Kuna watu wakuu (top people), watu wakawaida (Normal people), na watu wa hali chini.
kitabu hiki kitakusaidia mambo mhimu ya kuzingatia Ili mtu kuweza kuwa katika Nafasi za juu kwenye maisha bila KUJALI unafanya Nini utakuwa miongoni mwa wenye Thamani kubwa.