• Call us +255 787 900 787

Your Cart

Checkout | Shopping Cart

OMBAOMBA ALIYEUZA WANAE

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 11, 2024
Product Views:
251
In category:
Sample

Akiwa ameanza kuuona mwanga kwenye maisha yake, Modester anapata ulemavu unaotokana na wivu wa mapenzi, ambapo pia mpenziwe anauawa kikatili naye anaishia kuwa Ombaomba katika mitaa ya Kariakoo.\r\nAkiwa anaishi mitaani, jua na mvua vikimuishia utosini Modester anakutana na matukio ya kutisha mno,likiwemo la kubakwa na kupachikiwa ujauzito mwingine. inafika hatua anakata shauri na kuamua kuwauza wanae!

Hilo ni suala  lililomtafuna katika sehemu kubwa ya maisha yake, mpaka alipokutana na mwandishi wa habari maarufu James Masika \'Masika The Best\', ambaye naye alikuwa kwenye masaibu yake, baada ya mkewe kufungwa jela akikabiliwa na kesi ya mauaji. 

Ni Masika aliyekubali kwenda kwenye safari ya \'kifo\' kuwatafuta watoto wa Modester, ombaomba aliyeuza wanae!

NAKUKARIBISHA KATIKA RIWAYA HII YA KUSISIMUA, KUBURUDISHA NA KUELIMISHA.

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold